Msaada wa kisheria, kuna mtu kanitukana

Msaada wa kisheria, kuna mtu kanitukana

mabwiku

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
447
Reaction score
390
Habari ndugu,

Kuna mtu kanitukana, bahati mbaya zaidi niko mbali nae. Sasa nahitaji mwongozo ktk hili. Nahitaji kumshtaki na kufika mbali zaidi, sababu ni matusi yasiovumilika. Pia katukana kwa njia ya voice note WhatsApp..

Naombeni mwongozo.
 
Habari ndugu,kuna mtu kanitukana ,bahati mbaya zaidi niko mbali nae,sasa naitaji mwongozo ktk hili,naitaji kumshtaki na kufika mbali zaidi,sababu ni matusi yasio vumilika,pia katukana kwa njia ya voice note whatsap,naomben mwongozo
Msamehe tu mkuu! Hiyo ndo njia ya kupuuzia wajinga na wasiojielewa.
 
Habari ndugu,

Kuna mtu kanitukana, bahati mbaya zaidi niko mbali nae. Sasa nahitaji mwongozo ktk hili. Nahitaji kumshtaki na kufika mbali zaidi, sababu ni matusi yasiovumilika. Pia katukana kwa njia ya voice note WhatsApp..

Naombeni mwongozo.
1. wewe hujamkosea chochote? mambo yasije yakakubadilikia!
2. matusi tu hadi polisi? mbona mtaani kawaida. tena we ni whatsapp ambako wengine hawajui kama umetukanwa.
MPOTEZEE TU
 
Kumtukana mtu ni kosa kisheria hilo ni shambulio la aibu na kama ikipatikana hatia utasikia hukumu kama ile ya magu kuitwa bw***e
 
Kumtukana mtu ni kosa kisheria hilo ni shambulio la aibu na kama ikipatikana hatia utasikia hukumu kama ile ya magu kuitwa bw***e
Ni kosa lkn mpk awepo mtu wa tatu na asikie wakati unatukanwa...vyengivyo hakuna kosa hapo...sasa yeye katumiwa sauti inbox ya whatsapp tu,so kimsingi ni yeye mwenye tu ndo anajua kuwa katukanwa,hivyo,kiseheria hakuna kosa bado.
 
Habari ndugu,

Kuna mtu kanitukana, bahati mbaya zaidi niko mbali nae. Sasa nahitaji mwongozo ktk hili. Nahitaji kumshtaki na kufika mbali zaidi, sababu ni matusi yasiovumilika. Pia katukana kwa njia ya voice note WhatsApp..

Naombeni mwongozo.
Kamsemee kwa mama
 
Back
Top Bottom