Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msamehe tu mkuu! Hiyo ndo njia ya kupuuzia wajinga na wasiojielewa.Habari ndugu,kuna mtu kanitukana ,bahati mbaya zaidi niko mbali nae,sasa naitaji mwongozo ktk hili,naitaji kumshtaki na kufika mbali zaidi,sababu ni matusi yasio vumilika,pia katukana kwa njia ya voice note whatsap,naomben mwongozo
1. wewe hujamkosea chochote? mambo yasije yakakubadilikia!Habari ndugu,
Kuna mtu kanitukana, bahati mbaya zaidi niko mbali nae. Sasa nahitaji mwongozo ktk hili. Nahitaji kumshtaki na kufika mbali zaidi, sababu ni matusi yasiovumilika. Pia katukana kwa njia ya voice note WhatsApp..
Naombeni mwongozo.
Hayawezi cz mi sijatukana chochote1. wewe hujamkosea chochote? mambo yasije yakakubadilikia!
2. matusi tu hadi polisi? mbona mtaani kawaida. tena we ni whatsapp ambako wengine hawajui kama umetukanwa.
MPOTEZEE TU
Ni kosa lkn mpk awepo mtu wa tatu na asikie wakati unatukanwa...vyengivyo hakuna kosa hapo...sasa yeye katumiwa sauti inbox ya whatsapp tu,so kimsingi ni yeye mwenye tu ndo anajua kuwa katukanwa,hivyo,kiseheria hakuna kosa bado.Kumtukana mtu ni kosa kisheria hilo ni shambulio la aibu na kama ikipatikana hatia utasikia hukumu kama ile ya magu kuitwa bw***e
Kamsemee kwa mamaHabari ndugu,
Kuna mtu kanitukana, bahati mbaya zaidi niko mbali nae. Sasa nahitaji mwongozo ktk hili. Nahitaji kumshtaki na kufika mbali zaidi, sababu ni matusi yasiovumilika. Pia katukana kwa njia ya voice note WhatsApp..
Naombeni mwongozo.