Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 960
- 855
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hapa nchini, naishi na mama ambae kwa sasa ni mgonjwa sana tangu 2012. Kabla ya kuumwa kwake alikuwa na kesi ya madai ya mgawanyo wa mali dhidi ya baba yangu wakambo tangu mwaka 2000.
Pamoja na mahakama kuu kuamuru mama apewe nyumba1 kati ya 3 walizojenga hakuna utekelezaji uliofanyika, alikuwa akizungushwaa mpaka sasa ambapo anaumwa sana na hawezi tena kwenda mahakamani.
Je, nifanyeje ili nimsaidie mama?