Msaada wa kisheria kutotekeleza hukumu ya mahakama

Msaada wa kisheria kutotekeleza hukumu ya mahakama

Rutorial k

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
960
Reaction score
855
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hapa nchini, naishi na mama ambae kwa sasa ni mgonjwa sana tangu 2012. Kabla ya kuumwa kwake alikuwa na kesi ya madai ya mgawanyo wa mali dhidi ya baba yangu wakambo tangu mwaka 2000.

Pamoja na mahakama kuu kuamuru mama apewe nyumba1 kati ya 3 walizojenga hakuna utekelezaji uliofanyika, alikuwa akizungushwaa mpaka sasa ambapo anaumwa sana na hawezi tena kwenda mahakamani.

Je, nifanyeje ili nimsaidie mama?
 
Kama huyo mama ANAKUAMINI Kamata mwanasheria Aandike kitu kimoja kiitwacho "Power of Attorney"
Yaani akukabidhi wewe madaraka ya kuendelea kudai hizo haki zake.
Km hawezi kutembea mwambie mwanasheria Aje hapo nyumbani kwa mgonjwa AMSAINISHE hio Power of Attorney halafu Mwambie Mwanasheria wako airudishe kesi mahakamani, ili mahakama Imkabidhi haki yake huyo mama, na sio kutegemea hao warithi tena.

Lkn usipoweza kupewa "Power of Attorney" itakuwa shida kwa huyo mama kwenda mahakamani kila mara.

Good luck.
 
asante!je kuandaa power of attorney inaweza kughalim sh ngap mana wanasheria wako expensive sana
 
Nafurahi kukuona Mzee Es Huku.. na nimatumaini yangu tutashirikiana katika kuiendeleza hii forum. Asante sana!

Sidhani km itazidi 100,000/= laki moja.
Na akiwa muungwana hata elfu hamsini atachukua tu.
Ni barua moja tu anayotakiwa kuchapisha na haina kazi kubwa hata kidogo.

Mi ningelikuwa ni wewe ningeenda kwa wakili yyt nikamlalamiki shida zangu na kumueleza hali halisi, mawakili wengi ni waungwana tu km utawaelezea hali halisi. Lkn wako wenye tamaa sana.
Kwa hivyo tembeatembea kwanza.
 
OK ngoja nijaribu,ila wanyonge tunaonewa sana haiwezekan kesi ichukue miaka14.kisa mdaiwa ana wadhifa.
 
OK ngoja nijaribu,ila wanyonge tunaonewa sana haiwezekan kesi ichukue miaka14.kisa mdaiwa ana wadhifa.

Tena ukitaka kuwakomesha nenda kwa wakili anaejulikana.
Kuna mawakili wazuri sana pale karibu na Agakhan hospital jengo la pili.
mmoja wapo anaitwa KALUWA.

NI hodari sana na mimi humtumia mara nyingi, nenda kamlilie shida yako na umueleze kuwa pesa yako sio nzuri na kesi yako imechukua miaka 14 na mueleze kila kitu.

Huyu jamaa huwa anashughulika na kesi kubwa kubwa sana na mara nyingi anashinda.

Kila la kheri mkuu.
 
Agakhan ya wapi jamaa.kesi Yangu iko mwanza Huyo wakili yuko
wapi yeye
 
Back
Top Bottom