Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 960
- 855
Unayo kopi ya hiyo hukumu?
Unayo kopi ya hiyo hukumu?
Kama huyo mama ANAKUAMINI Kamata mwanasheria Aandike kitu kimoja kiitwacho "Power of Attorney"
Yaani akukabidhi wewe madaraka ya kuendelea kudai hizo haki zake.
Km hawezi kutembea mwambie mwanasheria Aje hapo nyumbani kwa mgonjwa AMSAINISHE hio Power of Attorney halafu Mwambie Mwanasheria wako airudishe kesi mahakamani, ili mahakama Imkabidhi haki yake huyo mama, na sio kutegemea hao warithi tena.
Lkn usipoweza kupewa "Power of Attorney" itakuwa shida kwa huyo mama kwenda mahakamani kila mara.
Good luck.
Nafurahi kukuona Mzee Es Huku.. na nimatumaini yangu tutashirikiana katika kuiendeleza hii forum. Asante sana!
OK ngoja nijaribu,ila wanyonge tunaonewa sana haiwezekan kesi ichukue miaka14.kisa mdaiwa ana wadhifa.
Agakhan ya wapi jamaa.kesi Yangu iko mwanza Huyo wakili yukoTena ukitaka kuwakomesha nenda kwa wakili anaejulikana.
Kuna mawakili wazuri sana pale karibu na Agakhan hospital jengo la pili.
mmoja wapo anaitwa KALUWA.
NI hodari sana na mimi humtumia mara nyingi, nenda kamlilie shida yako na umueleze kuwa pesa yako sio nzuri na kesi yako imechukua miaka 14 na mueleze kila kitu.
Huyu jamaa huwa anashughulika na kesi kubwa kubwa sana na mara nyingi anashinda.
Kila la kheri mkuu.
Agakhan ya wapi jamaa.kesi Yangu iko mwanza Huyo wakili yuko
wapi yeye
Duh mkuu mi nilidhani uko Dar.
Kwa mza sijui.
Jaribu kuulizia watu huko.
Kila la kheri.