mdachi mdachi
Senior Member
- Mar 9, 2017
- 107
- 130
Wasalam wanaJF,
Nimekutana na mjane mmoja huku songea kwa kweli anatia huruma na kweli anahitaji msaada wa kisheria ili aweze kupata haki yake.
Kwa ambao wana elimu ya sheria naombeni mumsaidie huyu mjane.
Tatzo lake ni hili:-
Kuna mjane ambaye alikuwa na eneo yani shamba hekari sita(6)
Eneo hilo limechukuliwa na wamission hawa wa kiroma kwajili ya shughuli zao ila hawajamlipa fidia
Huyu bibi amefuatilia toka mwaka 2014 mpaka leo hapo jimboni hakuna alichopata zaidi ya kuzungushwa tuu njoo kesho, kesho kutwa mpaka imefikia hatua anakata tamaaa ya kupata haki yake.
Aliwahi kwenda kwa mwanasheria ili amsaidie ila huyu mwanasheria akawa anataka hela ili aweze kumpa msaada wa kisheria.
Sasa kutokana na hali ya kiuchumi ya huyu mama ambaye ni mjane akawa ameshindwa kumlipa mwanasheria maana hata kula yake ni ya taabu.
Na kilichonisikitisha zaidi ni kuwa hawa ni watu wa dini ambao sisi tunatakiwa kuwaiga kama kioo cha jamii ila sasa wanapokuwa na nia ovu kama hivi sasa wana desplay nini kwenye jamii ambayo ndio wanaiongoza.
Yani father inafikia hatua anadanganya kwa huyu mjane kwa kumpa ahadi za uongo sasa kwa mazingira hayo anaonesha huyo father anataka kumtapeli
Hivyo kwa mwenye elimu ya sheria naombeni mumsaidie huyo mjane(bibi) aweze kupata haki yake
Maana anachotaka yeye huyo bibi ni alipwe fidia ili aweze kwenda kununua mashamba vijijini apate sehemu ya kulima mazao ya chakula maana kwa sasa anapata taabu ya kupata sehem ya kulima maana huwa inambidi akodishe.
Msaada tafadhali tumsaidie huyu mjane.
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app