Msaada wa kisheria kwa huyu mjane tafadhali

mdachi mdachi

Senior Member
Joined
Mar 9, 2017
Posts
107
Reaction score
130
Wasalam wanaJF,

Nimekutana na mjane mmoja huku songea kwa kweli anatia huruma na kweli anahitaji msaada wa kisheria ili aweze kupata haki yake.

Kwa ambao wana elimu ya sheria naombeni mumsaidie huyu mjane.

Tatzo lake ni hili:-

Kuna mjane ambaye alikuwa na eneo yani shamba hekari sita(6)

Eneo hilo limechukuliwa na wamission hawa wa kiroma kwajili ya shughuli zao ila hawajamlipa fidia

Huyu bibi amefuatilia toka mwaka 2014 mpaka leo hapo jimboni hakuna alichopata zaidi ya kuzungushwa tuu njoo kesho, kesho kutwa mpaka imefikia hatua anakata tamaaa ya kupata haki yake.

Aliwahi kwenda kwa mwanasheria ili amsaidie ila huyu mwanasheria akawa anataka hela ili aweze kumpa msaada wa kisheria.

Sasa kutokana na hali ya kiuchumi ya huyu mama ambaye ni mjane akawa ameshindwa kumlipa mwanasheria maana hata kula yake ni ya taabu.

Na kilichonisikitisha zaidi ni kuwa hawa ni watu wa dini ambao sisi tunatakiwa kuwaiga kama kioo cha jamii ila sasa wanapokuwa na nia ovu kama hivi sasa wana desplay nini kwenye jamii ambayo ndio wanaiongoza.

Yani father inafikia hatua anadanganya kwa huyu mjane kwa kumpa ahadi za uongo sasa kwa mazingira hayo anaonesha huyo father anataka kumtapeli

Hivyo kwa mwenye elimu ya sheria naombeni mumsaidie huyo mjane(bibi) aweze kupata haki yake

Maana anachotaka yeye huyo bibi ni alipwe fidia ili aweze kwenda kununua mashamba vijijini apate sehemu ya kulima mazao ya chakula maana kwa sasa anapata taabu ya kupata sehem ya kulima maana huwa inambidi akodishe.

Msaada tafadhali tumsaidie huyu mjane.

Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakuja wanasheria mkuu ...mm nimemshikia yule chalii ya chuga siti
 
Umehoji upande wa pili au uliishia kwa maelezo ya huyo mjane tu ?
 
Bw. mdachi mdachi Cha msingi huyo mjane aenda mahakamani tu. Hayo malalamiko yapelekwe baraza la ardhi la wilaya au baraza la kata la ardhi, kulingana na thamani ya eneo jenyewe
 
upo sawa mkuu naunga mkono ushauri ulioutoa, ila kuna marekebisho kidogo..huwa linaitwa "baraza la kata" na sio "baraza la ardhi la kata"...
viwango vinavyoruhusiwa katika baraza la kata ni thamani ya shilingi 1 mpaka shilingi milioni 3 (makadirio ya thamani ya eneno lenye mgogoro) na kwa baraza la ardhi na nyumba la wilaya ni kuanzia shilingi 3,000,001/- mpaka shilingi milioni 50/-.
baraza la kata anafungua mgogoro (shauri) kwa maongezi ya mdomo tu au kwa kuandika barua kwa mwenyekiti wa baraza, lakini baraza la ardhi na nyumba la wilaya kuna fomu maalumu inapatikana hapo barazani kwa gharama ya shillingi 2,000/-, hiyo ndiyo inayotumika kufungulia shauri.
azingatie hayo
 
Back
Top Bottom