Msaada wa Kisheria (Matumizi ya Mto)

Msaada wa Kisheria (Matumizi ya Mto)

Pilato2006

Senior Member
Joined
Aug 25, 2008
Posts
124
Reaction score
37
Nataka kunua shamba, kando kando ya mto. Je niache umbali gani toka ukingoni, na je naweza kuutumia mto kumwagilizia? Sheria ipi inaelezea haya mambo
 
kuna haki inaitwa riparian right...hii inamuwezesha mmiliki wa ardhi aliye pakana na vyanzo vya maji kama mto kuwa na haki ya kutumia maji hayo..lakini matumiz haya yasiwaathir watumiaji wengine.sheria ya mazingira ya Tanzania inahusika.kwa msaada zaidi tuwasiliane ..0655626005
 
Lile Baraza la Mazingira si ndio mpango mzima boi? Waone watoe mwongozo
 
Back
Top Bottom