Msaada wa kisheria nchini Zambia

jaqfantasy212

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
542
Reaction score
257
Habari wakuu!!

Naomba msaada katika hili..
Nipo Zambia nahitaji msaada wa kisheria, naweza kwenda wap ili nipate msaada, vp kwenye balozi huwa zinahusika kutoa msaada kwa raia endapo anahitaj msaada??

Nyuma ya hili nina kesi yangu ya madai na lawyer niliyempa kaz naona ananilaghai kwakuwa mm ni mgen..

Naomba msaada wa haraka tafadhali
 
nenda ubalozi wa Tz huko,watakusaidia,we mtu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…