hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,890
- 2,795
Pole sana mzee. Hiyo ikulu imeguswa hata angekuwa JK angeita jeshi zima kwa kupiga ikulu. Komaa walau ujue mustakabali wako. Haki za binadamu bongo wakishindwa kukusaidia nenda Amnesty Int'l kabisa. Hiyo ngoma nyeti sana.
Labda swali moja la msingi ni je tayari ushafanikiwa walau kuzaa watoto kadhaa? isije ikawa jamaa ndo wameharibu kabisa kiwanda cha production ya naniliu ukashindwa kunaniliu bureeeeeeee.
Labda swali moja la msingi ni je tayari ushafanikiwa walau kuzaa watoto kadhaa? isije ikawa jamaa ndo wameharibu kabisa kiwanda cha production ya naniliu ukashindwa kunaniliu bureeeeeeee.