Expired
AsanteNenda TFDA au baraza la wafamasia kawaeleze watakupa mwongozo mzuri
Kama hujadhurika na umepona endelea na shughuli zako
Mnapenda kiingereza wakati hamkijui kama mtaalamu wa kutu ya korosho"expay"ndo nini wewe msukuma !?, ungeandaka iliyoisha muda wake wa matumizi.Wanajukwaa naomben msaada wa kisheria nimeuziwa biadhaa iliyo kwisha expay njia zp ninatakiwa nizifate kisheria
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Std 1Tuanze kwanza na elimu yako..??
Pia haiwezekani msomi mzima unakosea kuandika unaandika"usiingalie"badala ya usiangalie.All in all jamaa alikuwa haraka pengine[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwasababu haiwezekani mtu mzima mwenye kujitambua,, inunue bidhaa na usiingalie ama kuikagua kabla ya kuondoka nayo
Expare=Expire