Msaada wa kisheria; nimeuziwa bidhaa iliyo expire

Msaada wa kisheria; nimeuziwa bidhaa iliyo expire

EXPAY is an aggregator of payment methods such as credit cards, e-money, mobile payments, money transfer, payment via terminals. In contrast to existing and something similar,
 
Nenda TFDA au baraza la wafamasia kawaeleze watakupa mwongozo mzuri
Kama hujadhurika na umepona endelea na shughuli zako
 
Wanajukwaa naomben msaada wa kisheria nimeuziwa biadhaa iliyo kwisha expay njia zp ninatakiwa nizifate kisheria

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Mnapenda kiingereza wakati hamkijui kama mtaalamu wa kutu ya korosho"expay"ndo nini wewe msukuma !?, ungeandaka iliyoisha muda wake wa matumizi.
 
Kwasababu haiwezekani mtu mzima mwenye kujitambua,, inunue bidhaa na usiingalie ama kuikagua kabla ya kuondoka nayo
Pia haiwezekani msomi mzima unakosea kuandika unaandika"usiingalie"badala ya usiangalie.All in all jamaa alikuwa haraka pengine[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kama umeuziwa na hujaitumia si urudishe pharmacy.
 
Kapicha itakuwa vizuri zaidi

Mungu ni Pendo
 
Back
Top Bottom