Msaada wa kisheria: Partnership kwenye biashara

Exactly! Customers base is growing daily! I have more customers than the product. Sometimes customers have to wait up to 2 weeks ili wapate product. Kama ningekuwa nna mtaji wa kutosha I could meet the demand faster.

I've been growing this business in a year, mtaji unaongezeka but at a small pace, that's why when he came with the idea of investing I got over excited.
 
If I were you, the know Daah hii lugha bhana hiii !!!umeandika ukiwa uko bwiii siyo?inaonyesha lugha hujui tumia kiswahili hata bhasi
 

Now, after going through all of what people have advised, what is your take?
 
Mwambie akukopeshe hiyo hela we utamlipa na riba uendelee kuw sole
Nikimwambia upfront anikopeshe atakataa au atanipa riba kubwa.
Nafikiria ninunue mechandise niende nazo kule, when I reach there nimwambie mzigo huu hapa lakini my conditions are 1,2,3 akikataa basi nitamwambia anipe mda niuze then I'll return his money.
Is it a bad idea??
 
Kwanini usitumie customer & Supplier royalty to your advantage..

Lock agreements na customers to supply Kisha tafuta good supply line... Establish relationship.. take products on credit deliver get your cut..

Kwann uwe na fedha ya kulipa tu... Leveraging is key.. ukishakuwa na a Willi customer.. u will get products on credit and you will even get transportation on credit.. if not free kabisa
 
Now, after going through all of what people have advised, what is your take?
That's my take.
 

this is a good idea. Sikuifikiria before. I know nothing about business nambwela mbwela tu.
 
[emoji3][emoji3]biashara itakuaje sasa kama faida mnagawana yote
 
Hii njia nzuri ndio aliyoitumia marehemu Mengi kuanzisha ile biashara ya kuassemble kalamu
 
Wewe hata hujamuelewa huyu, Inshort anata tamaa ya kufanya mambo makubwa ilhali uwezo huo hana ,na bad luck anayemtegemea ndio huyo anamuwekea vigingi..
 
Fanya hivi....

Ulikosea kwenye mazungumzo ya awali...

Ingekuwa mimi tungefanya hivi.... biashara ingeendeshwa kama kampuni.

Faida tunaitafuta baada ya gharama zote za uendeshaji. Sasa hapo kwenye gharama za uendeshaji kuna mishahara ya wafanyakazi.

Ningejipa cheo cha CEO wa kampuni....ningejilipa mshahara kama mfanyakazi.

Baada ya hapo ndiyo tunaongea masuala ya profi baada ya kulipwa mshahara wangu kama CEO...sajili biashara.

Would you mind to share what kind of business is that???????
 
Hii njia nzuri ndio aliyoitumia marehemu Mengi kuanzisha ile biashara ya kuassemble kalamu
Na ndiyo wanaitumia Maagenti wa mabasi Ubungo ... Mpaka Uber..

You secure a willing customer.. and then you sell them to service providers. Easy
 
Approach yako ya advice ni nzuri mno lakini huyu dada anakusikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…