Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 795
maybe she is she-male!Kwanza hii id ni ya jan 18 2013 post ya kwanza ulisema una demu anasema ana mimba yako ukaomba ushauri leo unasema una mimba wewe tena how this comes?
kwa nini ugongwe peku
Hello JF! mm ni mwanafunzi wa chuo, nilikuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mwanaume flan but kwa bahati mbaya tuliachana yapata mwezi sasa, nimepata mimba ambayo sikuitarajia na nilipomwambia mpenzi wangu ameikataa kwa madai eti hayuko tayari kubeba majukumu ya kulea. naomba msaada wenu kisheria nifanyeje?