Msaada wa Kisheria plz, nimepata mimba na mpenzi wangu amenikataa

Msaada wa Kisheria plz, nimepata mimba na mpenzi wangu amenikataa

kwa nini ugongwe peku

Huyu ni shoga au msagaji aliyekubuhu hata asijue jinsia yake. Soma post ta King'ast. Ikiwa kama shoka la Moderators halitatumika dhidi ya watu hawa, JF itaporoka na kukosa heshima
 
Last edited by a moderator:
Hello JF! mm ni mwanafunzi wa chuo, nilikuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mwanaume flan but kwa bahati mbaya tuliachana yapata mwezi sasa, nimepata mimba ambayo sikuitarajia na nilipomwambia mpenzi wangu ameikataa kwa madai eti hayuko tayari kubeba majukumu ya kulea. naomba msaada wenu kisheria nifanyeje?

Mimba umeipata kutokana na mapenzi/kupenda....kisha wataka kuchukua hatua za kisheria? Hakuna sheria yoyote ya kumchukulia huyo umpendaye as you are above 18 na hajakubaka.
 
Hello JF! mm ni mwanafunzi wa chuo, nilikuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mwanaume flan but kwa bahati mbaya tuliachana yapata mwezi sasa, nimepata mimba ambayo sikuitarajia na nilipomwambia mpenzi wangu ameikataa kwa madai eti hayuko tayari kubeba majukumu ya kulea. naomba msaada wenu kisheria nifanyeje?

Kwa kuwa yalitokea kwa hiari yenu hapo nadhani hakuna sheria kwa sasa. Subiri lea mimba yako hadi utakapojifungua, hapo ndipo sheria inapoweza kuanzia baada ya kuthibitisha kuwa kweli huyo unayemtaja ndiye baba halisi wa mtoto.

Pole bibie ndio ukubwa huo.
 
inaonekana huna tabia ya kutumia king a (kondom) na kama umeweza kupata nenda kapime na vingine then uje upewe ushauri
 
Tuliza akili kwanza na ushirikishe marafiki zake. subiri kwanza asahau kilichofanya muachane
 
Back
Top Bottom