Msaada wa kisheria tafadhali

Msaada wa kisheria tafadhali

Mchago

Member
Joined
May 4, 2013
Posts
15
Reaction score
3
Kuna issue naombeni msaada, case inapo Isha hakimu anasema rufaa ipo wazi kwa ambae hajalidhika na maamuzi, sa mfano inatokea judgment holder akakata rufaa na judgment debtor akakata rufaa at the same time and the court, inakuaje hapo?????
 
Judgement holder atakata rufaa ipi? While is the one the judgement is in favor
 
Kuna issue naombeni msaada, case inapo Isha hakimu anasema rufaa ipo wazi kwa ambae hajalidhika na maamuzi, sa mfano inatokea judgment holder akakata rufaa na judgment debtor akakata rufaa at the same time and the court, inakuaje hapo?????
Mtu hukata rufaa kama hajaridhika na hukum haijalishi ni debtor au holder...
 
Cross-Appeal, niliambiwa mahakama huwa inazipitia memorandum zote 2 na kuzipitia, ikiwa sababu za rufaa zinafanana huwa wanaiunganisha inakua rufaa moja..
Kwenye criminal, kabla ya rufaa huwa inatakiwa mtu atoe taarifa ya kuwa atakata rufaa kwa hiyo ni mara chache kukuta cross-appeal huko
 
Mkuu kama wewe ni mwanasheria.

Tafuta TANZANIA COURT OF APPEAL RULES, 2009.

Itakusaidia sana kuhusu swali lako hilo.
 
Back
Top Bottom