Suala la mgawanyo wa Mali kama lilifanywa na Marehemu enzi za uhai wake hata mkibaki mnagombana inabidi alichokifanya enzi za uhai wake kiheshimiwe kiimani na kimila.Habari za muda huu wadau wote wa jukwaa hili,napenda kutoa pongez kwa wadau wote wa humu kwa kutufungua mind na kutupa mind nourishment for sure salute for all,naombeni msaad hap,ivi baba mwenye boma akigawa viwanja kwa kila mtot wake then baaday akafariki talafu wale watot wakaanza kugomban wenyew kuwa baba alikosea kugawa hizi viwanja,hapa sheria ya uridhi itawasaidiaje hawa?,ahsanteni
Ahsante sana mjita pure,nmependa ushaur wak San na nilikuwa na hayo mawazo kabsa,je kusheria kuna kipenge au ibara gani inayolinda wosia wa marehemuSuala la mgawanyo wa Mali kama lilifanywa na Marehemu enzi za uhai wake hata mkibaki mnagombana inabidi alichokifanya enzi za uhai wake kiheshimiwe kiimani na kimila.