lendanai
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 375
- 280
Habari za muda huu wadau wote wa jukwaa hili,napenda kutoa pongez kwa wadau wote wa humu kwa kutufungua mind na kutupa mind nourishment for sure salute for all,naombeni msaad hap,ivi baba mwenye boma akigawa viwanja kwa kila mtot wake then baaday akafariki talafu wale watot wakaanza kugomban wenyew kuwa baba alikosea kugawa hizi viwanja,hapa sheria ya uridhi itawasaidiaje hawa?,ahsanteni