Msaada wa kisheria tafadhali

Mimi sio mwanasheria boss. Ila ni mjuvi wa masuala mengi hata ukifuatilia mada zangu hutagundua professional yangu maana huwa najibu yoyote ilimradi na kaulewa kadogo kutoka na company zangu na kusoma soma vitabu.
 
Mimi sio mwanasheria boss. Ila ni mjuvi wa masuala mengi hata ukifuatilia mada zangu hutagundua professional yangu maana huwa najibu yoyote ilimradi na kaulewa kadogo kutoka na company zangu na kusoma soma vitabu.
Basi unajitahidi lakini mimi ni wakili mkuu
 
Hapana hautakua na kosa, kama utakua umeangushwa na upepo

Kuna defence (utetezi kisheria) unaweza kuutumia, unaitwa ACT OF GOD (Yaani matendo ya mungu). Huu utetezi hua unatumika pindi jambo linapotokea ambalo halipo katika uwezo wa mwanaadamu (either kuliona au kulizuia) na kuleta athari fulani.

Mfano gari yako imechukuliwa na mafuriko, wakati wewe upo ndani ya gari unaendesha, na kwenda kugonga nyumba ya mtu, na kuzua hasara. Huwezi kushitakiwa kwa kosa la kuharibu mali ya mtu kwasababu jambo lililotokea ni nje ya uwezo wako (huwezi kuzuia mafuriko).

Mfano wa utetezi wa Act Of God,

1) Mvua kubwa au mafuriko.
2) Upepo Mkali.
3) Radi.
4) Tetemeko la ardhi.
5) Mlipuko wa moto pori.
6) Mmomonyoko wa Mlima. N.k

NB Sheria inakulazimu kua mwangalifu na kutoku sababisha madhara kizembe kwa mwenzako, na kuwa makini kwa vitu unavyomiliki vinavyo weza kuleta madhara kwa mwingine. (Ukifuga mbwa mkali, ni wajibu wako kuhakikisha unaweka onyo nje ya uzio wako, na kumdhibiti asije kumdhuru mtu yoyote. Pindi atakapo toroka usiku bila wewe kujua, basi utakutwa na hatia ya uzembe STRICT LIABILITY)


I stand to be corrected,
 
"Caveat emptor" principle.
 
Ndiyo utawajibika kisheria (You are liable for civil act) why:-

1. Trespass to another's land (Uvamizi)
Mti huo kuinanamia na kuaguka ndani ya Ardhi ya jiran yako ni kuvamia Ardhi ya jiran huyo.

2. Res ipsa loquitur. (Things speaks for itself)
The principle that the mere occurrence of some types of accident is sufficient to imply negligence.

Yaani, ulitakiwa kuchukua tahadhari kwa kuwa makini (proactive) kuzuia uharibifu huo kabla haujatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…