Msaada wa kisheria tafadhali

Asante kwa mchango wako mkuu,hiyo Aya ya mwisho imekaa vyema sana
 
Ila kwenye Aya ya kwanza ,unajuaje kuwa jamaa ni muungwana? Moyo wa mtu ni kichaka mkuu
 
Hatujui sababu ya Baba yao kutotaka wewe upaju, hatujasikia upande wake, lakini ilimradi ni baba yao na bado anaonesha upendo, anahudumia, muache hizo siku chache aenjoy na watoto, nao wana haki kwa baba yao. Usitafute mtafaruku usiokuwa na maana.
 
Ila kwenye Aya ya kwanza ,unajuaje kuwa jamaa ni muungwana? Moyo wa mtu ni kichaka mkuu
wale walishaishi pamoja wanajuana tabia hadi za ndani !! jamaa huenda ana makando kando yake lakini sio msumbufu au hana vurugu amekubali kumove on !! Dada angejua jamaa ni mkorofi angejitahid kukaa nae mbali angenyima hadi watoto ! Kama amempa watoto basi ujue anamwamini !!
 
Hatujui sababu ya Baba yao kutotaka wewe upaju, hatujasikia upande wake, lakini ilimradi ni baba yao na bado anaonesha upendo, anahudumia, muache hizo siku chache aenjoy na watoto, nao wana haki kwa baba yao. Usitafute mtafaruku usiokuwa na maana.
Asante kwa mchango wako mkuu
 
Kisheria ni kosa kumnyima baba kuwaona watoto wake,ni haki yake kujua wanapoishi na maendeleo Yao,ndicho alichofanya huyu mama hajamficha chochote, na Wala hajawahi kumuanzishia ugomvi wowote baada ya kuoa
Nna
 
Sasa hapo Tatizo Ni Nini?
Kama anawachukua likizo Kisha wanarudi kwa mama yao baada ya likizo Ni huyo mama kukaza roho aache kumfwatilia aliyekuwa mume wake hapo kinachoendelea kwa huyo mama Ni uswahili.
 
Hujaeelewa wapi mkuu,watoto wanaishi na mama,ila ikifika likizo yaani wakifunga shule wanaena kwa baba Yao,Sasa swali ni je huyu mama hatakiwi kufahamu watoto wanapoishi wakati wa likizo?
Hayo ni maamuzi ya baba kama kumuonesha au kutomuonesha, maana wazazi wengine wana ma bifu yao hadi watoto wanapeana ustawi wa jamii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…