mimimnyenyekevu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 737
- 1,002
- Thread starter
- #21
Asante kwa mchango wako mkuu,hiyo Aya ya mwisho imekaa vyema sanaMama amemkubalia jamaa kwa sababu jamaa ni muungwana anafanya kile kilichompeleka eneo husika (kuchukua watoto) yan hana ajenda nyingine za kuharibu au kuvuruga.
Mwanaume anamkatalia mtalaka wake kwa sababu ya tabia zake huenda ni mgomvi , mtu anachukua watoto kwa ajili likizo mara siku mbili tu dada huyu hapa anakuja na varangati anataka kuchukua watoto anajaza mtaa kwa fujo na kumtukana mke mwenzie.
Yule ni baba wa watoto mradi hamna shida yeyote kwa watoto fuatilia mwenyewe kujua anapoishi.
Huenda wewe ni mshari au una michezo ya kiswahili Dear Ex anaogopa usijue details zake mpya au muulize kwanini hataki !!