Nilikuwa katika safari zangu,kwenye daladala toka chuo kuelekea mjini ndipo gari ikazuiliwa getini na kuamriwa irudi chuoni kwamba amri imetolewa na uongozi wa chuo gari hilo lizuiliwe. Kufika utawala akatokea moja ya viongozi wakuu wa chuo na viongozi wandamizi , waka hoji kuna wanakijiji ndani kwenye gari watu wakajibu ndio, wakaambiwa washuke, wakashuka watu kama 10. kisha ikatolewa amri kuwa wanafunzi wote wahakikishe wanavitambulisho, ndipo wanakijiji wakaamriwa kuendelea na safari nawanafunzi kushikiliwa.swli lililo ulizwa na mkuu huyo ni kwa nn mnajihusisha na siasa?wakanyang'anya vitambulisho na kutuambia tusubili barua zetu. Hakuna aliye hojiwa mkuu, na hii ilitokana na kuwa kwenye kari hilo kulikuwa na wanafunzi 5 wakiwa na nguo nembo za chama.hivi ninapo ongea barua hiyo nipo nayo na nipo nyumbani.