Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza kwa kumuandikia barua shuruti(Demand Notice), ukiainisha jinsi alivyokukashifu na jinsi ulivyoathirika na kuaibika mbele ya jamii na uoneshe hasara uliyopata kutokana na kashfa izo barua shuruti mwishoni ioneshe unataka akufanyie nini ili kurudisha hadhi yako kama awali na umpe muda maalumu wa kufanya hivyo kabra hujamfungulia kesi ya madai(defamation case) mahakama kuu.