Mtoto wa Kaka yangu ilikua apelekwe india kwa ajili ya macho i mean alikua na uvimbe watu wa insurance yake wakachelewa kumpatia go ahead wakawa wanamzungusha miezi mingi tu mpaka amekua kipofu jicho moja je tunaweza kuwa sue Mahakamani? na kama napata Wakili mzuri kuna uwezekano wa kushinda kesi ya aina hii?
Ni hayo tu nakaribisha ushauri wenu na maoni yenu.