Msaada wa kisheria tafadhali

Msaada wa kisheria tafadhali

spleen

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
4,079
Reaction score
6,788
Habari zenu wakuu!

Binafsi naishi nyumba ya kupanga uswahilini na nimegombana na wenye nyumba, wamenikatia umeme kwenye vyumba vyangu, je nitawezaje kupata tena umeme kumbuka mkataba unasema umeme ni jukumu la mpangaji.

Kifupi naogopa kuwafuata na kumleta fundi aunge nahisi nitavunja sheria kwa kutowashirikisha wenye nyumba.
 
ww umeanza kupanga lini, umeme upikie ukuangaze,upasie ,upige mziki mafriji pengine una kompyuta ndani unategemea vyote hivi akulipie nani, ni bora umekuja huku kupata mawazo, LUKU maana yake Lipa Umeme Kadri Unavyotumia, sasa unataka akulipie nani
 
Hebu komaa....

Woga wako ndio anguko lako.

Tena waambie usipopata umeme wakurudishie kodi yako eboh

Kwani unaishi bure hapo
 
Ndugu zangu mm napenda kujua endapo mama mzazi kafariki amebaki baba na ameanza kuuza mali ovyo zilizobaki huku kaowwa mwanamke mwingine. Je naweza kumshtaki?
 
Back
Top Bottom