Habari zenu wakuu!
Binafsi naishi nyumba ya kupanga uswahilini na nimegombana na wenye nyumba, wamenikatia umeme kwenye vyumba vyangu, je nitawezaje kupata tena umeme kumbuka mkataba unasema umeme ni jukumu la mpangaji.
Kifupi naogopa kuwafuata na kumleta fundi aunge nahisi nitavunja sheria kwa kutowashirikisha wenye nyumba.