Binafsi naishi nyumba ya kupanga uswahilini na nimegombana na wenye nyumba, wamenikatia umeme kwenye vyumba vyangu, je nitawezaje kupata tena umeme kumbuka mkataba unasema umeme ni jukumu la mpangaji.
Kifupi naogopa kuwafuata na kumleta fundi aunge nahisi nitavunja sheria kwa kutowashirikisha wenye nyumba.
ww umeanza kupanga lini, umeme upikie ukuangaze,upasie ,upige mziki mafriji pengine una kompyuta ndani unategemea vyote hivi akulipie nani, ni bora umekuja huku kupata mawazo, LUKU maana yake Lipa Umeme Kadri Unavyotumia, sasa unataka akulipie nani
Ndugu zangu mm napenda kujua endapo mama mzazi kafariki amebaki baba na ameanza kuuza mali ovyo zilizobaki huku kaowwa mwanamke mwingine. Je naweza kumshtaki?