Nimeenda kwenye eneo langu ambalo naendeleza ujenzi nimekuta jirani yangu nilie karibu yangu mpakani ametoa beacon moja wapo zilizo wekwa miaka mitatu iliyopita, nimeenda serikali ya mtaa wamenipa barua ya wito nimeipeleka kwa mjumbe. Sasa wakuu naombeni ushauri nilivyofanya ni sahihi naweza pata haki inayo shahiki kwa hatua ya hawali niliyo chukua?