Msaada wa kisheria tafadhali

Msaada wa kisheria tafadhali

bintishomvi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
1,164
Reaction score
833
Nimeenda kwenye eneo langu ambalo naendeleza ujenzi nimekuta jirani yangu nilie karibu yangu mpakani ametoa beacon moja wapo zilizo wekwa miaka mitatu iliyopita, nimeenda serikali ya mtaa wamenipa barua ya wito nimeipeleka kwa mjumbe. Sasa wakuu naombeni ushauri nilivyofanya ni sahihi naweza pata haki inayo shahiki kwa hatua ya hawali niliyo chukua?
 
nenda kwa walioweka hiyo beacon ndo wanajua ramani ya hapo ilivo...yaani watu wa mipango miji. vinginevyo mtazunguka sana lakini watakaotoa utata huo ni hao mipango miji
 
nenda kwa walioweka hiyo beacon ndo wanajua ramani ya hapo ilivo...yaani watu wa mipango miji. vinginevyo mtazunguka sana lakini watakaotoa utata huo ni hao mipango miji

Hasante mkuu nitafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom