F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,677
- 4,959
wakuu naombeni msaada wa kisheria kwa hiki kitu nilichoulizwa na mwanafunzi wangu ktk somo la URAIA, ni hivi sheria inasemaje kwa mama mzazi anapohukumiwa kifungo cha jela na wakati huo mama huyo akawa ananyonyesha mtoto mchanga? je, atakwenda naye mtoto gerezani? na kama akienda naye mtoto huyo gerezani hapo hapatokuwa na dosari ya kumfunga naye kifungo kama mama yake? msaada tafadhar