L lifeline Member Joined Sep 10, 2013 Posts 63 Reaction score 9 Jan 29, 2014 #1 Mama yangu mzazi alifariki miaka mitatu iliyopita na akawa ameacha fedha nyingi benki.tuko watoto wake watatu,ni jinsi gani tufanye ili tuweze kupata hizo fedha kutoka benki ..bila ya kufuata mchakato mzima wa mirathi....naomba msaada wa kiutaalamu
Mama yangu mzazi alifariki miaka mitatu iliyopita na akawa ameacha fedha nyingi benki.tuko watoto wake watatu,ni jinsi gani tufanye ili tuweze kupata hizo fedha kutoka benki ..bila ya kufuata mchakato mzima wa mirathi....naomba msaada wa kiutaalamu
C ck1 Member Joined Dec 19, 2011 Posts 62 Reaction score 12 Jan 30, 2014 #2 hapo hakuna shortcut lazima lazima mirathi ifunguliwe na wala huo mchakato sio mkubwa labda kama kuna mambo unaficha
hapo hakuna shortcut lazima lazima mirathi ifunguliwe na wala huo mchakato sio mkubwa labda kama kuna mambo unaficha
L lifeline Member Joined Sep 10, 2013 Posts 63 Reaction score 9 Jan 30, 2014 Thread starter #3 Hakuna cha kuficha..maana Mali zakr zote alishatuandikisha kwa majina yetu kasoro bank account yake ndio nataka kufahamu kutokea hapo
Hakuna cha kuficha..maana Mali zakr zote alishatuandikisha kwa majina yetu kasoro bank account yake ndio nataka kufahamu kutokea hapo
C ck1 Member Joined Dec 19, 2011 Posts 62 Reaction score 12 Jan 30, 2014 #4 lazima kufungua mirathi na wala sio kazi. kwanini hamjafungua mirathi mpaka sasa?
Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,307 Reaction score 25,932 Jan 30, 2014 #5 Kama uko serious,ni-PM