Msaada wa kisheria tafadhari

Msaada wa kisheria tafadhari

lifeline

Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
63
Reaction score
9
Mama yangu mzazi alifariki miaka mitatu iliyopita na akawa ameacha fedha nyingi benki.tuko watoto wake watatu,ni jinsi gani tufanye ili tuweze kupata hizo fedha kutoka benki ..bila ya kufuata mchakato mzima wa mirathi....naomba msaada wa kiutaalamu
 
hapo hakuna shortcut lazima lazima mirathi ifunguliwe na wala huo mchakato sio mkubwa labda kama kuna mambo unaficha
 
Hakuna cha kuficha..maana Mali zakr zote alishatuandikisha kwa majina yetu kasoro bank account yake ndio nataka kufahamu kutokea hapo
 
lazima kufungua mirathi na wala sio kazi. kwanini hamjafungua mirathi mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom