Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 709
Natumaini ni wazima,
Nilikuwa nawaza tu kwenda kufunguwa kesi mahakamani juu ya mafao yangu niliyochangia, nakunbuka wakati najaza mkataba wa kujiunga na mfuko huu wa mafao sikuambiwa na wala sikujaza sehemu ambayo wanadai mpaka nifikishe huo umri mimi nilijaza sehemu ambayo nikiacha kazi leo kesho naenda kuchukua mafao yangu kwa kuwa na viambatanisho vya kuacha kazi ikiwemu barua ya mwajiri, kitambulisho na mengine.
Je, nikiienda mahakamani na kuwashitaki kwa kwenda kinyume na mkataba nitashinda au tashindwaa?
Nilikuwa naomba msaada wa mawazo nifanyeje nipate hela zangu.