Msaada wa kisheria unahitajika hapa

Msaada wa kisheria unahitajika hapa

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Posts
1,251
Reaction score
709
Natumaini ni wazima,

Nilikuwa nawaza tu kwenda kufunguwa kesi mahakamani juu ya mafao yangu niliyochangia, nakunbuka wakati najaza mkataba wa kujiunga na mfuko huu wa mafao sikuambiwa na wala sikujaza sehemu ambayo wanadai mpaka nifikishe huo umri mimi nilijaza sehemu ambayo nikiacha kazi leo kesho naenda kuchukua mafao yangu kwa kuwa na viambatanisho vya kuacha kazi ikiwemu barua ya mwajiri, kitambulisho na mengine.

Je, nikiienda mahakamani na kuwashitaki kwa kwenda kinyume na mkataba nitashinda au tashindwaa?

Nilikuwa naomba msaada wa mawazo nifanyeje nipate hela zangu.
 
Mkuu Kidume, pole kwa kupitwa na wakati.
Zamani wakati ukijiunga ni kweli unajaza mahali pa kuchukulia mafao yako kwa sababu wakati huo mafao yalikuwa yakilipwa kwa malipo ya hundi.

Sasa mafao hayalipwi kwa hundi bali unaingiziwa kwenye account yako popote ulipo. Huna haja ya kwenda popote kuchukua mafao yako zaidi ya ndani ya account yako.

Mifuko yote mitano ya hifadhi ya jamii inazo ofisi zake kila mkoa. Hivyo 6 months kabla ya tarehe yako ya kustaafu, mwajiri anakujulisha kwa barua kuwa umebakiza miezi 6 kustaafu ili ujipange. Copy ya barua hiyo pia inakwenda kwenye mfuko wako.

One moth kabla hujastaafu unapewa barua na likizo ya kustaafu ukirudi kazini ni kuchukua tuu barua na kuiwasilisha kwenye mfuko as a procedure tuu lakini mifuko mingine, mafao yako yanakuwa yameishaingia kwenye account yako hata kabla hujastaafu.

Ukisha staafu unachotakiwa kufanya nI kutoa tuu taarifa ya mahali ulipo settle kwa ajili ya zoezi la uhakiki.

Unataka kufungua kesi kwa lipi? . Mafao yako ni haki yako na uko huru kuyapokelea popote unapotaka wewe, kupitia benki yoyote.

Pasco
 
Hujamwelewa mleta mada!
Anauliza uhalali wa kumnyima fao la kujitoa wakati kwenye mkataba hakuambiwa iwapo hatapewa fao husika!
 
Kama alipojiunga fao hilo lilikuwepo, na katika huo mkataba wake lipo, ruksa aende mahakamani akaidai haki yake!.

Pasco
 
Back
Top Bottom