Nafurahi sana kuwa kwenye jumba hili kubwa la jamii forum,
Kwa ukubwa huu nategemea kupata mawazo mzuri ya kunisaidia ktk jambo lifuatalo:-
Ndugu yangu aliingia kwenye Saccos moja hivi akiwa na wanachama wenzake kadhaa na waliweka hisa zao kiac cha mil kadhaa kwa kila mtu baada ya miaka kadhaa saccos hiyo ilikufa bila wanachama kupata haki zao
Kwa sasa kesi iko mahakamani lkn mwanasheria wao ambaye ni wa jamhuri yuko upande wa mshitakiwa na inaonesha dhahiri kuna uwezekano wa kukosa haki zao upo,so nini kifanyike ili hao watu waweza kupata haki yao?
Nitawashukuru sa kwa michango yenu mtakayonipa
Mungu awabariki wrote