Msaada wa Kisheria wa haraka

Kageo

Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
34
Reaction score
8
Ndugu zanguni wenye fani ya sheria ninaombeni msaada wa kisheria.

Kuna mtu ambaye tuliingia naye mkataba wa kibiashara na mimi kumpa hela afanyie kazi na kunilipa interest kwa kila mwezi na sasa ameshindwa kunilipa na amefirisika hana fedha.

Je kama nitafungua kesi dhid yake nitafungua kesi gani? na je mwisho wake utakuwaje , na je hiyo ni kesi ya jinai au madai.

Na kesi kama hii inaweza kupelekwa mahakamani au kwa tume ya usuluhishi CMA
 

Mfungulie kesi ya Madai katika Mahaka za Kawaida. Ukiweza kuthibitisha basi utashinda. Asipokata rufaa ndani ya Muda utaomba kukaza hukumu,ambapo utaweza kukamata mali kuziuza na kufidia gharama na madai yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…