Ndugu zanguni wenye fani ya sheria ninaombeni msaada wa kisheria.
Kuna mtu ambaye tuliingia naye mkataba wa kibiashara na mimi kumpa hela afanyie kazi na kunilipa interest kwa kila mwezi na sasa ameshindwa kunilipa na amefirisika hana fedha.
Je kama nitafungua kesi dhid yake nitafungua kesi gani? na je mwisho wake utakuwaje , na je hiyo ni kesi ya jinai au madai.
Na kesi kama hii inaweza kupelekwa mahakamani au kwa tume ya usuluhishi CMA