Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,975
Nilishitakiana na mwajiri CMA nikamshinda na akaamriwa kunilipa kiasi fulani cha pesa. Tuliandikiana mahakamani na yeye akaweka sahihi maamuzi yale. Sasa muda wa malipo umefika mpaka leo ni danadana tu hajalipa hela ni zaidi ya mwezi kutoka tarehe aliyoahidi. Nichukue hatua gani?