kuna jamaa alinimbia anauza magari kwa kukopesha, ila natakiwa nimpatie advance ya laki 5.... nikampatia pesa na ajanipa gari mpaka leo, je naweza kwenda kumfungulia kesi na bahati mbaya hatukuandikishiana kokote
Wakati unampatia hiyo laki tano, kuna watu wengine waliona na au kusikia hayo makubaliano yenu? Kama mlikuwa wawili tu wakati wa makubaliano yenu itakuwa ni ngumu zaidi kuthibitisha ila kama kuna watu wengine walikuwepo hao ndio watakuwa mashahidi wako wakati wa kwenda mahakamani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.