Kuna Shangazi alikuwa anaishi nje ya nchi ya Mume wake walifanikiwa kupata mtoto mmoja ambaye sasa ana miaka mitatu
Mwaka jana mmewe akaamua kurejea Tanzania na uyo kwa makubaliano ya kwamba mtoto akamuache kwa Bibi yake yani upande wa kikeni kisha arejee sehemu aliyokuwa anaishi na mkewe waendeleze maisha yao
uyo mme wa shangazi baada ya kuwasili Tanzania akaamua kuoa mke mwingine na anaishi nae pamoja na uyo mtoto
Mama wa mtoto nae akarejea tanzania na anamuhitaji mwanae ili aishi nae lakini mwanaume hataki kumpatia mtoto mke wa zamani
Je kisheria utaratibu upoje , wataalam wa sheria mtusaidie