MSAADA WA KISHERIA

Ndera

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
653
Reaction score
548
wadau mnisaidie, kuna ndugu yangu alikuwa na kesi kazini kwake lakini kabla ya kutatuliwa ktk kikao cha nidhamu mdau alikuwa anajiskia kuugua hata akashindwa kuhudhuria tareha zilizopangwa ktk kikao, alihudhuria hospitali nakupewa ED 8 kwa mda tofauti (ED,3,3,2) baada hapo kikao kilifanyika lakini ofisi ikaomba Repoti ya daktari kwa kutuma email hospitali husika ambayo ndo ina mkataba na kampuni hiyo ili kudhibitisha hali yake kama amepona na anaweza kuendelea na kazi ya kabla ya kupangiwa majukumu. Alipofika hosp alipangiwa kumuona specialist ambaye alimfanyia check up na kuendelea na matibabu upya na daktari akasema hawezi kuandika repoti mpaka atakapo jua hali yake.

swali langu, nimekuwa nikijulisha kuhusu utaratibu unaoendelea hospitali lkn naona kama pia sio suala langu sana kujulisha ofisi yake kwasababu wao wenyewe waliitaji ripoti tena kwa njia ya email kwahiyo wanaitaji kumsubiri Dkt hadi atakapotoa taarifa yake. Sasa Je, anapoendelea kuwa nyumbani mpaka hapo atakapo pata ripoti ni sahihi? au ataonekana mtoro? au aendelee kuripoti ofisini japo anaendelea na matibabu huku akisubiria hiyo ripoti?
 
Kweny sheria ya Ajira na Mahusiano kazn kuna haki ya likizo na likizo hzo zipo na aina nying sana ikiwepo LIKIZO YA UGONJWA YAAN SICK LEAVE

Kwa hyo mwajiriwa atapewa sick leave siku 126 kwa mzungukonwa likizo iikiwa na maan

Siku 63 full paid salary
Akiwa bado hajapona

Siku 63 ahalf paid salary

Ila tu likzo hyo itatambulika na mwajir kama mwajiriwa atapeleka medicine certificate kutoka kwa daktar laki cyo daktar aseme subil halafu mwajiriwa anakaa nyumban bila mwajir kufaham hlo ni kosa kisheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…