Ndera
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 653
- 548
wadau mnisaidie, kuna ndugu yangu alikuwa na kesi kazini kwake lakini kabla ya kutatuliwa ktk kikao cha nidhamu mdau alikuwa anajiskia kuugua hata akashindwa kuhudhuria tareha zilizopangwa ktk kikao, alihudhuria hospitali nakupewa ED 8 kwa mda tofauti (ED,3,3,2) baada hapo kikao kilifanyika lakini ofisi ikaomba Repoti ya daktari kwa kutuma email hospitali husika ambayo ndo ina mkataba na kampuni hiyo ili kudhibitisha hali yake kama amepona na anaweza kuendelea na kazi ya kabla ya kupangiwa majukumu. Alipofika hosp alipangiwa kumuona specialist ambaye alimfanyia check up na kuendelea na matibabu upya na daktari akasema hawezi kuandika repoti mpaka atakapo jua hali yake.
swali langu, nimekuwa nikijulisha kuhusu utaratibu unaoendelea hospitali lkn naona kama pia sio suala langu sana kujulisha ofisi yake kwasababu wao wenyewe waliitaji ripoti tena kwa njia ya email kwahiyo wanaitaji kumsubiri Dkt hadi atakapotoa taarifa yake. Sasa Je, anapoendelea kuwa nyumbani mpaka hapo atakapo pata ripoti ni sahihi? au ataonekana mtoro? au aendelee kuripoti ofisini japo anaendelea na matibabu huku akisubiria hiyo ripoti?