Guys naomba ushauri kidogo kwa Lawyers, Law enforcement members, wanazuoni n.k. Kuna jamaa yangu kapatwa na tatizo kuna wageni walifika kwake, mdada na mkaka walikuwa wametoroshana, mdada alikuwa na mtoto (Si wa yule jamaa mtoroshaji). Huyu ndugu yangu hapo kwake ana kisima kidogo cha mkono (kama dimbwi hajakifunika) huyu mtoto wakati wakubwa wanapiga soga akiwakwepa akazunguka nyuma ya nyumba akazama kwa hicho kisima akapoteza uhai, nimekuja kwenu mnisaidie ushauri afanyeje huyu ndg? Na nini matokeo ya hili swala?
*Its Urgently issue your assistance is needed ASAP*
*Its Urgently issue your assistance is needed ASAP*