Meddick_Uwezo
Member
- Jul 21, 2018
- 54
- 27
Kuna kijana alikuwa akifanya kazi katika kampuni flani ya wachina kama kibarua(hakuajiriwa) katika kufanya kazi akapata ajari na kupoteza mkono wake akiwa anafanya kazi
Kampuni ile ilimsaidia huduma ya kwanza na kumpeleka hospital kwa matibabu zaidi , swali langu huyu kijana anaweza lipwa fidia ya kupoteza kiungo chake akiwa kazini?? Kama ndio hatua zipi zifwate ili hapate haki yake??
Au huyu kijana hastaili kulipwa fidia?? na kwanini??
Naombeni majibu wanajamvi.