MSAADA WA KISHERIA

MSAADA WA KISHERIA

Meddick_Uwezo

Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
54
Reaction score
27
Kuna kijana alikuwa akifanya kazi katika kampuni flani ya wachina kama kibarua(hakuajiriwa) katika kufanya kazi akapata ajari na kupoteza mkono wake akiwa anafanya kazi
Kampuni ile ilimsaidia huduma ya kwanza na kumpeleka hospital kwa matibabu zaidi , swali langu huyu kijana anaweza lipwa fidia ya kupoteza kiungo chake akiwa kazini?? Kama ndio hatua zipi zifwate ili hapate haki yake??
Au huyu kijana hastaili kulipwa fidia?? na kwanini??
Naombeni majibu wanajamvi.
 
Write your reply...Alifanya kazi kwa muda gani?...
Mode of payment ilikuwaje?
 
Kijana ana stahili kulipwa fidia zake, ingawa hakua na mkataba. ila kwakua kazi ni ya Massa fulani, kuna usimamizi na kuna malipo huo ni mkataba tosha.

Atapata fidia kwakua Mkono ndio nyenzo iliokua Inampatia kula yake.

Lamsingi kama yupo dar aende CMA...pale akiba posta, akafungue mashitaka ya kudai fidia kwa mwajiri wake.
 
Natumai miaka mitatu haijapita tangu apate hilo tatizo.
 
Kijana ana stahili kulipwa fidia zake, ingawa hakua na mkataba. ila kwakua kazi ni ya Massa fulani, kuna usimamizi na kuna malipo huo ni mkataba tosha.

Atapata fidia kwakua Mkono ndio nyenzo iliokua Inampatia kula yake.

Lamsingi kama yupo dar aende CMA...pale akiba posta, akafungue mashitaka ya kudai fidia kwa mwajiri wake.

CMA ?? Ndo taasis IPI?? Je kuna gharama gani kufungua shitaka hapo??
 
Back
Top Bottom