Meddick_Uwezo
Member
- Jul 21, 2018
- 54
- 27
Ndo nawasubiri mkuuWanasheria watakuja
Kibarua huwa analipwa per day ni 5000 , almost three monthsWrite your reply...Alifanya kazi kwa muda gani?...
Mode of payment ilikuwaje?
Kijana ana stahili kulipwa fidia zake, ingawa hakua na mkataba. ila kwakua kazi ni ya Massa fulani, kuna usimamizi na kuna malipo huo ni mkataba tosha.
Atapata fidia kwakua Mkono ndio nyenzo iliokua Inampatia kula yake.
Lamsingi kama yupo dar aende CMA...pale akiba posta, akafungue mashitaka ya kudai fidia kwa mwajiri wake.
Na uhakika hapa nitapata muelekeo kwa hayo mawazo yenuhapa utadanganywa bure, nenda tuu mahakamani
Aende mahakamani bila kupitia CMA, kesi itapigwa chini...kama kitu hujuhi tulia.hapa utadanganywa bure, nenda tuu mahakamani
Tume ya ushuluhishi Wa migogoro ya makazini.CMA ?? Ndo taasis IPI?? Je kuna gharama gani kufungua shitaka hapo??
basi aende kwa mjumbe wa nyumba 10Aende mahakamani bila kupitia CMA, kesi itapigwa chini...kama kitu hujuhi tulia.