Nenda kamuone huko alipo katika mahabusu na uongee naye ili akupe sababu ya kukamatwa kwake inawezekana siyo hiyo unayotuambia.sheria kwa ujumla inamtaka afisa mkamataji akamate, apekue,ahoji ,apate ushaidi na apeleke mahakamani au ampe dhamana kama kosa lina dhamana hiyo ni sheria kwa makosa yote yanayotambuliwa na taifa letu