Msaada wa kisheria

Bila Shaka ulipitia CMA mkuu.
Kweli mkuu. Toka shauri linaanza CMA upande wa mlalamikiwa haukuhudhuria kabisa pamoja na kuwa na samansi ya kuitwa CMA. Mwisho wa siku msuluhishi alimaliza shauri kwamba nipeleke kwa rais. Huko imebuma. Kutokana na kuwa na vielelezo vya wazi kabisa. Jamaa mmoja kanishauri nipeleke shauri mahakama kuu kitengo cha
 
mwishoni ndio umeniacha hoi na hio cha..!!
 
Mkuu sifahamu ulikua una fanya kazi taasisi gani na pia nature ya madai yako ila tuzo inapotolewa na tume utekelezaji wake hufanyika mahakama kuu kitengo cha kazi.

Muamuzi alikua sahihi kumua shauri upande mmoja baada ya mwajiri wako kukaidi wito.

Hivyo hatua unayoichukua sasa ni sahihi ; kutekeleza uamuzi wa tume ; kitaalam wanaita "Execution "

Nenda mahakama kuu kitengo cha kazi watakupatia nakala ya fomu utajaza utaambatanisha na nakala ya uamuzi utasubiri hatua nyingine.

Tafuta wataalam wa sheria wakupe muongozo.
 
mkuu nakushukuru kwa kunipa mwanga. naamini 90% nitapata msaada wa kutosha. Mimi ni mwalimu. Na shauri langu ni kuachishwa kazi isivyo halali (unfair termination) ni
 
mkuu jana nilikuwa mahakamani pale iringa kufanyia kazi mawazo yenu. fomu sikuzikuta. wao wanataka nipeleke fomu ambayo tayari imejazwa. ili wao watoe samansi ya kuuita upande wa pili. offcourse nimeelekezwa. Cha kufanya. Nashukuruni kwa mawazo yenu. Kama kuna lolote nitaleta hapa kwa wajuzi wa mambo.
 
wakuu naombeni msaada Mm kijan wachuo cha uhasibu kunajamaa yng aliniomba nimsaidie laki tatu akafanye biashar nilikuw mwez wa 4/4/2018 kwa makubaliano ya mdomo kuwa atanirudishia baada y mwenz 1, hivy jamaa hakuniludishia pesa hy nikaamua kumfat ili tuandikishiane lakin alikataa hvyo nikaamua kurekodi mazunguz yale yakukataa kuandikishiana na kurekod call za zote, sasa nimempeleka police lakin amekana kama cjamkopesh hivy case naipelek mahakamn NAOMBENI MSAADA WENU NIFANYE NN,
 
sauti uliyorekodi ndo ushahidi. kesi iwe ni mwizi wa kuaminiwa. hiyo atafungwa na akitoka utalipwa fidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…