Lupalilo ngwada
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 120
- 97
Nataka kupeleka shauri mahakama kuu kitengo cha kazi.
Hapa ni baada ya IKULU kukataa rufaa yangu.
Hapa ni baada ya IKULU kukataa rufaa yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu. Toka shauri linaanza CMA upande wa mlalamikiwa haukuhudhuria kabisa pamoja na kuwa na samansi ya kuitwa CMA. Mwisho wa siku msuluhishi alimaliza shauri kwamba nipeleke kwa rais. Huko imebuma. Kutokana na kuwa na vielelezo vya wazi kabisa. Jamaa mmoja kanishauri nipeleke shauri mahakama kuu kitengo chaBila Shaka ulipitia CMA mkuu.
mwishoni ndio umeniacha hoi na hio cha..!!Kweli mkuu. Toka shauri linaanza CMA upande wa mlalamikiwa haukuhudhuria kabisa pamoja na kuwa na samansi ya kuitwa CMA. Mwisho wa siku msuluhishi alimaliza shauri kwamba nipeleke kwa rais. Huko imebuma. Kutokana na kuwa na vielelezo vya wazi kabisa. Jamaa mmoja kanishauri nipeleke shauri mahakama kuu kitengo cha
Mkuu sifahamu ulikua una fanya kazi taasisi gani na pia nature ya madai yako ila tuzo inapotolewa na tume utekelezaji wake hufanyika mahakama kuu kitengo cha kazi.Kweli mkuu. Toka shauri linaanza CMA upande wa mlalamikiwa haukuhudhuria kabisa pamoja na kuwa na samansi ya kuitwa CMA. Mwisho wa siku msuluhishi alimaliza shauri kwamba nipeleke kwa rais. Huko imebuma. Kutokana na kuwa na vielelezo vya wazi kabisa. Jamaa mmoja kanishauri nipeleke shauri mahakama kuu kitengo cha
mkuu nakushukuru kwa kunipa mwanga. naamini 90% nitapata msaada wa kutosha. Mimi ni mwalimu. Na shauri langu ni kuachishwa kazi isivyo halali (unfair termination) niMkuu sifahamu ulikua una fanya kazi taasisi gani na pia nature ya madai yako ila tuzo inapotolewa na tume utekelezaji wake hufanyika mahakama kuu kitengo cha kazi.
Muamuzi alikua sahihi kumua shauri upande mmoja baada ya mwajiri wako kukaidi wito.
Hivyo hatua unayoichukua sasa ni sahihi ; kutekeleza uamuzi wa tume ; kitaalam wanaita "Execution "
Nenda mahakama kuu kitengo cha kazi watakupatia nakala ya fomu utajaza utaambatanisha na nakala ya uamuzi utasubiri hatua nyingine.
Tafuta wataalam wa sheria wakupe muongozo.
Nenda high court wakafanye judicial review, kwakuwa kule ni face to face na aliyekuajir with evidence kitaeleweka tu,
mkuu jana nilikuwa mahakamani pale iringa kufanyia kazi mawazo yenu. fomu sikuzikuta. wao wanataka nipeleke fomu ambayo tayari imejazwa. ili wao watoe samansi ya kuuita upande wa pili. offcourse nimeelekezwa. Cha kufanya. Nashukuruni kwa mawazo yenu. Kama kuna lolote nitaleta hapa kwa wajuzi wa mambo.Mkuu sifahamu ulikua una fanya kazi taasisi gani na pia nature ya madai yako ila tuzo inapotolewa na tume utekelezaji wake hufanyika mahakama kuu kitengo cha kazi.
Muamuzi alikua sahihi kumua shauri upande mmoja baada ya mwajiri wako kukaidi wito.
Hivyo hatua unayoichukua sasa ni sahihi ; kutekeleza uamuzi wa tume ; kitaalam wanaita "Execution "
Nenda mahakama kuu kitengo cha kazi watakupatia nakala ya fomu utajaza utaambatanisha na nakala ya uamuzi utasubiri hatua nyingine.
Tafuta wataalam wa sheria wakupe muongozo.
sauti uliyorekodi ndo ushahidi. kesi iwe ni mwizi wa kuaminiwa. hiyo atafungwa na akitoka utalipwa fidia.wakuu naombeni msaada Mm kijan wachuo cha uhasibu kunajamaa yng aliniomba nimsaidie laki tatu akafanye biashar nilikuw mwez wa 4/4/2018 kwa makubaliano ya mdomo kuwa atanirudishia baada y mwenz 1, hivy jamaa hakuniludishia pesa hy nikaamua kumfat ili tuandikishiane lakin alikataa hvyo nikaamua kurekodi mazunguz yale yakukataa kuandikishiana na kurekod call za zote, sasa nimempeleka police lakin amekana kama cjamkopesh hivy case naipelek mahakamn NAOMBENI MSAADA WENU NIFANYE NN,
Sauti anaweza akaikana na kusema siyo ya kwake.sauti uliyorekodi ndo ushahidi. kesi iwe ni mwizi wa kuaminiwa. hiyo atafungwa na akitoka utalipwa fidia.
ukifungua kesi nenda polisi kachukue RB. halafu nenda vodashop kuomba recorded voice. ya namba ya huyo mtuhumiwa wako. kitaeleweka tuu mkuu.Sauti anaweza akaikana na kusema siyo ya kwake.