Msaada wa kisheria

Msaada wa kisheria

Myhope

Senior Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
154
Reaction score
67
Nilikuwa nafanya kazi kampuni S nilikaimishwa nafasi 2 za uongozi (meneja lkn pia mkuu wa idara) kumbuka mm nilkuwa mfanyakazi wa kawaida, likaja gari la mafuta lenye Lita 18,000 lakini invoice na delivery note za mzigo zinaonesha gari lina mafuta Lita 15,000. Dereva akanambia kuna mafuta Lita 3,000 yamezidi naomba uniachie, nikamwambia asubiri niyapime kwanza kama yatakuwa yamezidi nitashusha yangu yanayonihusu. Baada ya upimaji nilikuta kweli yamezidi nikashusha Lita 15,000 na kuziacha hizo Lita 3,000 zirudishwe zilikotoka. Kisha nikaandika barua kuelezea nilichokuta na kukifanya nikampa dereva copy nikaifaili ofisini na gari likaondoka. Lilipofika wilaya nyingine likakamatwa na Polisi kisha kurudishwa lilipotoka na mm kufunguliwa kesi ya Wizi wa hizo Lita 3,000 ktk kituo cha polisi na viongozi wa kampuni. Walitumwa watu kuja kufanya uchunguzi na kupima mafuta yaliyokuwepo na yaliyopokelewa wakakuta yapo sahihi hakuna Loss yoyote. Jeshi LA polisi nao wakafanya upelelezi wao wakaona sina hatia, wakaandika barua kuja kwenye kampuni S kwamba hawaoni kosa langu la wizi hapo coz hakuna loss iliyoonekana. Mwajili hakurizika akaamua kunifukuza kazi kwa kusema kwamba Nilikusudia kumwibia mwajiri hizo Lita 3,000. Pia kwa nn niliyapokea yale mafuta peke yangu? Na wakati wanaohusika no Meneja na Mkuu wa idara. Lkn hizi nafasi zote kwa wakati huo nilikuwa nimekaimishwa mimi. Naombeni msaada wa kisheria hapa wataalamu wangu.
 
Wahi CMA faster kabla mda haujapita
 
Back
Top Bottom